UPDATES: Victorien Adebayor (26) atavunja mkataba wa miaka 3️⃣ iliyobaki na Berkane kama kila kitu kitaenda sawa
✅ Berkane tayari wamewasha taa ya kijani kumuachia.
Kwasasa yupo Tanzania na timu yake ya Niger 🇳🇪, muda wowote atakutana na viongozi wa Simba kwaajili ya mazungumzo
You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page.
Even you can find users who are same pleasure with current user.