Mily Boy   

Mily Boy's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“Shabiki kindaki ndaki wa Simba”

 Report User

Highlights

VICTORIAN ADEBAYOR (26) ATAVUNJA MKATABA NA RS BERKANE KAMA KILA KITU KITAENDA SAWA NA ๐Ÿฆ

โœ… Berkane tayari wamewasha taa ya kijani kumuachia kwasasa yupo Tanzania na timu yake ya Niger muda wowote atakutana na viongozi wa simba kwenye Hotel waliyofikia  kwaajili ya mazungumzo.

VICTORIAN ADEBAYOR (26) ATAVUNJA MKATABA NA RS BERKANE KAMA KILA KITU KITAENDA SAWA NA ๐Ÿฆ โœ… Berkane tayari wamewasha taa ya kijani kumuachia kwasasa yupo Tanzania na timu yake ya Niger muda wowote atakutana na viongozi wa simba kwenye Hotel waliyofikia kwaajili ya mazungumzo.



๐Ÿšจ BALEKE HAJAPATA MAJERAHA MAKUBWA 

Daktari wa Simba amethibitisha kuwa Mshambuliaji Jean Baleke hajapata majeraha makubwa na leo atafanya mazoezi ya mwisho na wenzake kujiandaa na mchezo dhidi ya Coastal Union utakaopigwa kesho Ijumaaa Uwanja wa Uhuru.

๐Ÿšจ BALEKE HAJAPATA MAJERAHA MAKUBWA Daktari wa Simba amethibitisha kuwa Mshambuliaji Jean Baleke hajapata majeraha makubwa na leo atafanya mazoezi ya mwisho na wenzake kujiandaa na mchezo dhidi ya Coastal Union utakaopigwa kesho Ijumaaa Uwanja wa Uhuru.





User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports