Ruvu Shooting Team Activity Highlights on Social Media

Coastal Union 2-1 Ruvu shooting | Highlights - VPL 17/04/2021
Coastal Union 2-1 Ruvu shooting | Highlights - VPL 17/04/2021

Tazama namna mambo yalivyokuwa wakati Coastal Union ikiibamiza Ruvu Shooting kwa jumla ya mabao 2-1. Magoli ya Coastal Union yamefungwa na Rashid ...Coastal Union 2-1 Ruvu Shooting | Magoli ikiwemo kona ya moja kwa moja | VPL 17/04/2021
Coastal Union 2-1 Ruvu Shooting | Magoli ikiwemo kona ya moja kwa moja | VPL 17/04/2021

Wagosi wa Kaya, Coastal Union wametoka nyuma na kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara ...LIVE |  COASTAL vs RUVU SHOOTING, MTIBWA vs KAGERA, UCHAMBUZI - 17/04/2021
LIVE | COASTAL vs RUVU SHOOTING, MTIBWA vs KAGERA, UCHAMBUZI - 17/04/2021

Tazama uchambuzi kuelekea mechi za leo za Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Coastal Union dhidi ya Ruvu Shooting na Mtibwa Sugar dhidi ya Kagera Sugar.JAMVI KALI LEO
👕: COASTAL UNION 🆚 RUVU SHOOTING
ODDS ✅ 2.30 X 3.01 X 3.31
⚽:
.
☎️: *149*89# 🌍: 
@bikosportstz.

Bashiri kwa Mitandao yote| BET KWA TZS 1 tu| Bashiri bila Kujisajili 🔞si Chini ya miaka 18.
#Jibwede
#KipengaUnachoWewe

JAMVI KALI LEO 👕: COASTAL UNION 🆚 RUVU SHOOTING ODDS ✅ 2.30 X 3.01 X 3.31 ⚽: . ☎️: *149*89# 🌍: @bikosportstz. Bashiri kwa Mitandao yote| BET KWA TZS 1 tu| Bashiri bila Kujisajili 🔞si Chini ya miaka 18. #Jibwede #KipengaUnachoWewe💪Dimba la Mkwakwani Tanga wagosi wa kaya Coastal union vs maafande wa Ruvu shooting  
💪Dimba la Jamhuri Morogoro , vijna kutoka Manungu Turiani Mtibwa Sugar vs Wanakoma kumwanya Mbeya City 
💪Mkapa stadium mjini Dare-esalaam Young Africans dhidi ya Biashara United

💪Dimba la Mkwakwani Tanga wagosi wa kaya Coastal union vs maafande wa Ruvu shooting 💪Dimba la Jamhuri Morogoro , vijna kutoka Manungu Turiani Mtibwa Sugar vs Wanakoma kumwanya Mbeya City 💪Mkapa stadium mjini Dare-esalaam Young Africans dhidi ya Biashara UnitedHIGHLIGHT | Ruvu Shooting ilivyoikong'ota JKT Tanzania (3-0) - VPL 06/03/2021
HIGHLIGHT | Ruvu Shooting ilivyoikong'ota JKT Tanzania (3-0) - VPL 06/03/2021

Tazama namna Ruvu Shooting ilivyoishushia kipigo (3-0) JKT Tanzania kwenye mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Magoli ya Ruvu Shooting yamefungwa ...Magoli yote Ruvu Shooting ilivyoikaanga JKT Tanzania (3-0) - VPL 06/03/2021
Magoli yote Ruvu Shooting ilivyoikaanga JKT Tanzania (3-0) - VPL 06/03/2021

Tazama magoli yote ya Ruvu Shooting ikiibamiza JKT Tanzania kwa jumla mabao 3-0. Magoli mawili yamefungwa na Fully Zulu Maganga na lingine ...Ruvu shooting🔥 tumeamka salama tu tunasubiri muda ufike hata kama JKT Tanzania🇹🇿 hawapendi😅 lakini haina budi saa 10:00 itafika na shughuli yetu tutaifanya kwa ufasaha kabisa 
Leo ndo leo aiseee tutacheza nao kama timu kubwa wenzetu hatutajali udogo wao😅
#WeAreRuvuShooting🔥

Ruvu shooting🔥 tumeamka salama tu tunasubiri muda ufike hata kama JKT Tanzania🇹🇿 hawapendi😅 lakini haina budi saa 10:00 itafika na shughuli yetu tutaifanya kwa ufasaha kabisa Leo ndo leo aiseee tutacheza nao kama timu kubwa wenzetu hatutajali udogo wao😅 #WeAreRuvuShooting🔥
Next »

Details & Similar Teams

Ruvu Shooting F.C.

Ruvu Shooting Stars is a football club based in Dar es Salaam, Tanzania. They play at the Uhuru Stadium in the Tanzanian Premier League.

The Ruvu Shooting's Football team activities page. Related with social media posts of Ruvu Shooting's games and scheduled events. Match records planned for future dates as well as home and away matches. Plan a trip and experience the excitement of the match on the spot!