Timu ya Taifa ya soka ya Burundi itatumia uwanja wa Benjamini Mkapa uliopo mkoani Dar es Salaam kucheza mchezo wake wa kuwania kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya Namibia.
weekendsports #kissmostwantedtz #sports120 #sittingroom #kissripoti #toleolaleo #live #malezi #yangasc #usmalger #sports ...
Mshambuliaji hatari wa timu ya Taifa ya Congo na Yanga Mayele amefunga bao zuri na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi ...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro ameishuhudia Taifa Stars ikishinda bao 1-0 dhidi ...
Tanzania are close to qualifying for the AFCON tournament for the first time since they last qualified in 2019 when the competition was held in Egypt. 🚨🇹🇿 The Taifa Stars need one more win and also hope that Algeria will beat Uganda tonight to aid their chances. #TotalEnergies
Taifa Stars inafikisha alama 7 kwenye msimamo huku wakisubiri hatima ya Mchezo wa Uganda na Algeria ili kujihakikishia nafasi ya pili. Bao limefungwa na Simon Msuva 68' #webrandyourfuture #FathersDay #brazil #news #africa #sports