Simba SC imebakiza pointi mbili katika michezo mitatu iliyosalia kutetea taji lake la Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Ndanda SC kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufikisha pointi 88 kileleni mwa msimamo wa ligi. Mabingwa hao watetezi wamepata ushindi wa mabao 2-0 yote yakifungwa na Meddie Kagere ndani ya dakika kumi, akianza dakika ya 6 kwa pasi ya John Bocco, kisha dakika ya 11 kwa pasi ya Clatous Chama. Mabao hayo yamemfanya Kagere kufikisha jumla ya magoli 22 kwenye ligi kuu msimu huu, akimuacha kwa mbali mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo na mshambuliaji wa Mwadui FC Salim Aiyee wenye magoli 16 kila mmoja, huku Emmanuel Okwi na John Bocco wa Simba pia wakiwa nyuma yao na mabao 15 kila mmoja. Baada ya mchezo wa leo, Simba inasafiri kwenda mjini Singida ambako itacheza na Singida United Jumanne ya Mei 21, 2019, na endapo watapata ushindi basi shughuli itakuwa imekwisha msimu huu kwani watakuwa wamefikisha pointi 91 ambazo hazitaweza kufikiwa na timu yoyote. Kwa upande wao Ndanda SC wameendelea kubaki kwenye nafasi yao ya nane wakiwa na pointi 47 na wamekiza mechi mbili ambzo zote watacheza nyumbani kwao Mtwara.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya leo kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Walioitafuna miwa ya Mtibwa kwenye mchezo huo uliokuwa mzuri na wa kuvutia, ni John Bocco dakika ya 33, Clatous Chama dakika ya 48 na Emmanuel Okwi dakika ya 56. Ushindi huo umefanya Simba ifikishe pointi 85 na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwaacha Yanga kwenye nafasi ya pili wakiwa na pointi 83 wakati Mtibwa Sugar wakisalia kwenye nafasi ya tano na pointi 49.
MASHABIKI SIMBA Walivyokula KIPORO Hadharani "VYURA Wajipange" MASHABIKI wa Simba wamefurahia ushindi wao dhidi ya Mtibwa Sugar mechi ambayo imepigwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuibuka na ushindi mabao 3-0. Mabao ya Simba yamefungwa na John Bocco, Okwi na Chama katika kipindi cha kwanza na cha pili. Simba wanafikisha jumla ya pointi 84 wakiwa wamefunga jumla ya mabao 72 huku kinara wa upachikaji wa mabao akiwa ni Meddie Kagere mwenye mabao 20 kwa sasa ligi kuu Bara. Simba imebakiwa na michezo minne ili kukamilisha mzunguko wa pili msimu huu ambapo mpaka sasa wamebakiza pointi tano ili kuweza kutetea ubingwa wao. #MASHABIKISIMBA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
TETEMA Yanogesha SHANGWE la Mashabiki wa SIMBA Hatari!! MASHABIKI wa Simba wamefurahia ushindi wao dhidi ya Mtibwa Sugar mechi ambayo imepigwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuibuka na ushindi mabao 3-0. Mabao ya Simba yamefungwa na John Bocco, Okwi na Chama katika kipindi cha kwanza na cha pili. Simba wanafikisha jumla ya pointi 84 wakiwa wamefunga jumla ya mabao 72 huku kinara wa upachikaji wa mabao akiwa ni Meddie Kagere mwenye mabao 20 kwa sasa ligi kuu Bara. Simba imebakiwa na michezo minne ili kukamilisha mzunguko wa pili msimu huu ambapo mpaka sasa wamebakiza pointi tano ili kuweza kutetea ubingwa wao. #MASHABIKISIMBA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
#SimbavsMtibwaSugar #TPL #LigiKUU
KOCHA MTIBWA SUGAR - "Tumefungwa Magoli ya Aina Moja" JOHN Bocco nahodha wa Simba leo amefunga bao lake la 15 kwenye ligi kuu Bara kwenye ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa uwanja wa Uhuru akimalizia pasi ya Meddie Kagere dakika ya 33. Bao lake la leo linakamilisha jumla ya mabao 113 kwenye soka hali inayomfanya azidi kuwa mshambuliaji mwenye urafiki na nyavu kwa bongo. Mabao mengine ya Simba leo yamefungwa na mwamba wa Lusaka, Clatous Chama dakika ya 48 baada ya mabeki wa Mtibwa Sugar kujichanganya na bao la tatu limepachikwa na Emmanuel Okwi dakika ya 56. Ushindi huo unairejesha Simba kileleni kwa kuishuhsa Yanga ambayo ilikuwa kileleni baada ya kufikisha jumla ya pointi 83 huku Simba ikifikisha jumla ya pointi 85. Simba wanafikisha jumla ya pointi 84 wakiwa wamefunga jumla ya mabao 72 huku kinara wa upachikaji wa mabao akiwa ni Meddie Kagere mwenye mabao 20 kwa sasa ligi kuu Bara. Simba imebakiwa na michezo minne ili kukamilisha mzunguko wa pili msimu huu ambapo mpaka sasa wamebakiza pointi tano ili kuweza kutetea ubingwa wao. #SIMBAVsMTIBWA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
KOCHA SIMBA "OKWI KAGERE Wameshindwa Kutumia Nafasi Tumepata Nyingi" JOHN Bocco nahodha wa Simba leo amefunga bao lake la 15 kwenye ligi kuu Bara kwenye ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa uwanja wa Uhuru akimalizia pasi ya Meddie Kagere dakika ya 33. Bao lake la leo linakamilisha jumla ya mabao 113 kwenye soka hali inayomfanya azidi kuwa mshambuliaji mwenye urafiki na nyavu kwa bongo. Mabao mengine ya Simba leo yamefungwa na mwamba wa Lusaka, Clatous Chama dakika ya 48 baada ya mabeki wa Mtibwa Sugar kujichanganya na bao la tatu limepachikwa na Emmanuel Okwi dakika ya 56. Ushindi huo unairejesha Simba kileleni kwa kuishuhsa Yanga ambayo ilikuwa kileleni baada ya kufikisha jumla ya pointi 83 huku Simba ikifikisha jumla ya pointi 85. Simba wanafikisha jumla ya pointi 84 wakiwa wamefunga jumla ya mabao 72 huku kinara wa upachikaji wa mabao akiwa ni Meddie Kagere mwenye mabao 20 kwa sasa ligi kuu Bara. Simba imebakiwa na michezo minne ili kukamilisha mzunguko wa pili msimu huu ambapo mpaka sasa wamebakiza pointi tano ili kuweza kutetea ubingwa wao. #KOCHASIMBASC https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho