KOCHA NDANDA Akana Kumtaja Mwamuzi Baada ya Matokeo MABINGWA watetezi Simba leo wamebeba pointi tatu mbele ya Ndanda FC na kuanza kunukia ubingwa wa ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa uwanja wa Uhuru. Meddie Kagere kipindi cha kwanza amepachika mabao yote mawili ambapo bao la kwanza amefunga dakika ya tatu akimalizia pasi ya John Bocco na bao lake la pili alifunga dakika ya 11 akimalizia pasi ya Clatous Chama. Ushindi huo umewapa nafasi Simba kujikita kileleni wakiwa na jumla ya pointi 88 na wamebakiwa na michezo mitatu ili kukamilisha mzunguko wa pili. Kwa nafasi ambayo kwa sasa Simba wamefikia wanahitaji pointi mbili ili kujihakikishia kutetea ubingwa wao msimu huu. Simba wamepiga jumla ya mashuti 10 ambayo hayakulenga lango huku Ndanda wakipiga jumla ya mashuti sita ambayo hayakulenga lango. Mchezo wao unaofuata ni dhidi ya Singida United utakaochezwa uwanja wa #SIMBAVsNDANDA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
__ Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. ******************************************* Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/
MAGOLI YOTE: SIMBA Vs NDANDA FC ( 2 - 0), KAGERE NI BALAA! Ni mtanange wa kukata shoka kati ya Mashetani wekundu wa msimbazi SIMBA SC Dhidi Wana Kuchele NDANDA FC, unaochezwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar.... Mtanange huo umemalizika kwa Simba kuichapa Ndanda mabao 2 - 0 yaliyofungwa na mshambuliaji wake, Meddie Kagere.... #SIMBAVsNDANDA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
__ Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. ******************************************* Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars