simba #NguvuMoja #NguvuMoja #Simbaleo #morrisson #simba #simbatanzania #simba #NguvuMoja #Simbaleo #manaratv #sisisiowepesi ...
Bernard Morrisson akishangilia staili ya steven sey Mbele yake katika mchezo wao wa leo ulioikutanisha namungo vs Simba.
Goli la Morison lililowaker Namungo leo.Simba wameondoka na pointi 3 katika uwanja wa majaliwa leo.
Simba anashika nafasi ya pili akiwa na point 42 nyuma ya yanga anayeongoza akiwa na point 46 katika msimamo .goli pekee la Morrison Bernard lnawapa Simba point 3 Muhimu ...................................................................................................................................................... SUBSCRIBE this channel for more football updates