D1 Lebanese Women's Basketball 2025-2026 | Finals - Game 5 - Homenetmen vs Riyadi #riyadi #homenetmen #finals #women
Song: Egzod, Maestro Chives, Neoni - Royalty [NCS Release] Music provided by NoCopyrightSounds Free Download/Stream: http://ncs.io/Royalty Watch: http://ncs.lnk.to/RoyaltyAT/youtube
L’hommage d’un supporter de la RD du Congo à Patrice Lumumba en l’absence de Michel Kuka, absent faute de visa pour les USA. #FIFAWORLDCUP #worldcup2026 #congo #rdcongo🇨🇩
Decathlon Lebanese Basketball Championship 2025-2026 | Game 3 - Sagesse vs Homenetmen - Playoffs #mtvbasket #mtvsports #sagesse #homenetmen #playoffs
DTZ Media – Habari, Michezo, Elimu na Maisha ya Afrika Subscribe kwa taarifa zaidi kila siku! 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2026 Dtz 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo leo Juni 11, 2026 amepanda ulingoni Abidjan Nchini Ivory Coast kuwania mkanda wa IBO katika pambano la round 12 dhidi ya Bondia Michel Soro raia wa Ivory Coast na Ufaransa. Mwakinyo katika pambano hilo la round 12 la uzito wa middleweight, amepoteza kwa kupigwa kwa TKO round ya 9 na kufanya pambano hilo kuwa pambano lake la tatu kuwahi kupoteza kwa KO. Hili linakuwa pambano la 4 kwa Hassan Mwakinyo, Moja akipigwa kwa point na matatu kwa KO. Michel Soro leo amepigana pambano lake la 45, amefanikiwa kushinda kwa KO kwa mara ya 28, akipoteza mara 4 na ametoka sare mara 2.
#SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079 UNAWEZA KUTUMA SADAKA YAKO KWA M_PESA +255742692079 YOU CAN SEND YOUR LOVE OFFERING TO THESE NUMBERS M_PESA +25574269207