🚨LIVE:AZAM FC VS YANGA SC , FAINALI CRDB FEDERATION CUP, KIVUMBI LEO
Tazama penati zote zilizopigwa kwenye mchezo wa fainali ya #crdbbankfederationcup kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC. Yanga imeshinda kwa jumla ya penati 6-5 na kutwaa kombe la Shirikisho la CRDB Benki kwa mara ya nne tangu lirejee mwaka 2015. Waliokosa penati kwa Yanga ni Stephane Aziz Ki, Joseph Guede na Ibrahim Abdullah Bacca. Waliokosa kwa Azam FC ni Iddy Nado, Gibril Sillah, Fuentes Mandoza na Lusajo Mwaikenda.
Kuendelea kupata habari mbalimbali tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : https://www.facebook.com/Mbiu-ya-SautiKuu-1743739459176507/?ref=your_pages. Instagram : https://www.instagram.com/mbiuyasautikuutv/ YouTube : http://www.youtube.com/MbiuyaSautiKuuTv/
🔴#Live: AZAM FC ( 5 ) VS YANGA SC ( 6 )PENALTY – FAINALI CRDB BANK FEDERATION CUP (CBFC - TANZANIA) Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Vigogo wa soka Al Ahly wako tayari kwa fainali inayosubiriwa kwa hamu na ghamu ya ligi ya mabingwa barani Afrika ambapo ...