JAMES SAMWEL ALICHAMBUA GOLI YA FEI TOTO - ''HUWEZI KUMLAUMU KIPA, HATA WAKIWA 5 CHUMA INAKAA''.. Dakika 90 za mtanange wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga vs Simba, zimemalizika kwa wananchi kutinga hatua ya fainali baada ya kumtandika Simba bao ( 1 - 0 ) lililofungwa na kiungo fundi, Feisal Salum 'Fei Toto'. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: YANGA SC vs SIMBA SC ( 1 - 0 ) - NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO, CCM KIRUMBA - MWANZA MIAMBA ya soka nchini, Yanga na Simba, wameshuka dimbani katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuvaana, ikiwa ni mchezo wa Nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam ( ASFC).. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV WENYEJI, Biashara United wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na vigogo, Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Yanga walitangulia na bao la mshambuliaji wake Mkongo, Fiston Kalala Mayele dakika ya 75, kabla ya Collins Opare kuisawazishia Biashara United dakika ya 78. Mayele anafikisha mabao 14 na kumfikia mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole katika kinyang’anyiro cha ufungaji Bora. Yanga inafikisha pointi 64 katika mchezo wa 26 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 13 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Biashara United wenyewe wanafikisha pointi 24 katika mchezo wa 25 na kupanda nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16, wakiizidi wastani wa mabao tu Tanzania Prisons. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na washambuliaji wake wa Kimataifa wa Tanzania, Kibu Dennis dakika ya 13 na Nahodha, John Bocco dakika ya 29 wote wakimalizia pasi za kiungo Mzambia, Rally Bwalya. Kwa ushindi huo, Simba was SC inafikisha pointi 49, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi nane na watani wao, Yanga SC baada ya wote kucheza mechi 23, wakati Kagera inabaki na pointi 29 mechi 23 nafasi ya saba. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Simba SC wameipa kichapo cha mabao 4-1 Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa Mei 8, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Waliopachika mabao haya ni Kibu Denis dakika ya 40, Rally Bwalya dakika ya 67, John Bocco dakika ya 82 na Hennock Inonga dakika ya 85 wakati bao pekee la Ruvu shooting likifungwa na Haruna Chanongo, dakika ya 83.
Simba SC wameipa kichapo cha mabao 4-1 Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa Mei 8, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Waliopachika mabao haya ni Kibu Denis dakika ya 40, Rally Bwalya dakika ya 67, John Bocco dakika ya 82 na Hennock Inonga dakika ya 85 wakati bao pekee la Ruvu shooting likifungwa na Haruna Chanongo, dakika ya 83.