MREMBO wa SIMBA Adata na Morrison mh! skiliza maneno yake
MREMBO wa SIMBA Adata na Morrison mh! skiliza maneno yake

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV DAKIKA 90, zimekamilika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Red Arrows katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mabao mawili ya Bernard Morrison dakika ya 17, 78, na Meddie Kagere dakika ya 19, yametosha kuipa ushindi mnono mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara. Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kufanya mabadiliko ambapo Simba ilimtoa beki Pascal Wawa na nafasi yake ikichukuliwa na Henock Inonga ili kuiongezea nguvu safu ya ulinzi. Kwa upande wa Red Arrow ilifanya mabadiliko kwenye eneo la ushambuliaji akitoka Felix Bulaya na nafasi yake ikichukuliwa na Ricky Banda. Kuingia kwa Inonga kulileta utulivu kwenye eneo hilo kutokana na urefu wake wa kucheza mipira mingi ya kichwa ambayo ilikuwa inatumika kama njia mbadala ya kutafuta mabao. Dakika ya 57, Prosper Chiluya wa Red Arrows alipata kadi nyekundu baada ya kadi mbili za njano na kuendelea kuigharimu timu yake iliyokuwa ikihitaji kusawazisha mabao hayo. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV




« Previous Next »


Popular Tags

#Allen Iverson  #Zlatan Ibrahimovi  #Zlatan Ibrahimovi  #Paul Pogba  #Thomas Muller  #Paul George  #Shaquille O'Neal  #Mesut Ozil  #Counter Attack Goals Football  #Ronaldinho  

Popular Users

#si_vault  #YouTube  #jadande  #akshaykumar  #nfl  #KingJames  #AntDavis23  #rolopez42  #billsimmons  #normmacdonald  #imVkohli  #JLo  #itsBayleyWWE  #BrunoMars