MZEE SAID!!  VIONGOZI SIMBA SC KWA NINI TUWAACHE BEST PLAYER WETU// BALAA  NEW FORCE YATINGA SIMBA
MZEE SAID!! VIONGOZI SIMBA SC KWA NINI TUWAACHE BEST PLAYER WETU// BALAA NEW FORCE YATINGA SIMBA

kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes



MAZISHI ya JOTA YAACHA SIMANZI KWAO - RONALDO AACHA MASWALI KUSHINDWA KUFIKA MAZIKONI...
MAZISHI ya JOTA YAACHA SIMANZI KWAO - RONALDO AACHA MASWALI KUSHINDWA KUFIKA MAZIKONI...

MAZISHI ya JOTA YAACHA SIMANZI KWAO - RONALDO AACHA MASWALI KUSHINDWA KUFIKA MAZIKONI... Mazishi ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota, yamefanyika leo katika mji wake wa kuzaliwa wa Gondomar, nchini Ureno, ambapo mamia ya waombolezaji, wakiwemo familia na marafiki wa karibu, walikusanyika kumuaga pamoja na kaka yake, André Silva, waliofariki katika ajali mbaya ya gari siku ya Alhamisi, Julai 3, 2025. Mke wa Jota, Rute Cardoso, mwenye umri wa miaka 28, alionekana akitokwa na machozi huku akitembea taratibu nyuma ya jeneza la mumewe, akiwa amevaa mavazi meupe na kushikilia waridi la rangi ya krimu. Jota ameacha watoto watatu — wavulana wawili na binti mmoja. Baadhi ya waombolezaji walionekana wakisaidiwa na wenzao kutokana na mshtuko na majonzi makubwa yaliyowakumba. Majeneza ya Diogo Jota na kaka yake André yalipelekwa kwa huzuni kubwa hadi ndani ya kanisa lililoko Gondomar. Ni watu wa familia na marafiki wa karibu pekee walioruhusiwa kuingia ndani ya kanisa hilo, lakini misa ya mazishi ilipeperushwa moja kwa moja kupitia spika kwa maelfu ya waombolezaji waliokuwa wamejipanga nje kuonyesha heshima zao za mwisho. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



DIOGO JOTA WA LIVERPOOL AFARIKI DUNIA LEO HII KWA AJALI YA GARI/KIFO CHATHIBITISHWA LEO
DIOGO JOTA WA LIVERPOOL AFARIKI DUNIA LEO HII KWA AJALI YA GARI/KIFO CHATHIBITISHWA LEO

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience! We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below! #entertainment #news #music #funny



MANULA NUSKI AFAI KUVAA MEDALI ZA SIMBA
MANULA NUSKI AFAI KUVAA MEDALI ZA SIMBA

kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes



BERKANE WAKUTANA NA MAUZA MAUZA ZANZIBAR | WAOGOPA "UCHAWI" WAKATAA KUPANDA GARI ZA SIMBA
BERKANE WAKUTANA NA MAUZA MAUZA ZANZIBAR | WAOGOPA "UCHAWI" WAKATAA KUPANDA GARI ZA SIMBA

Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/ Twitter: https://twitter.com/earadiofm Subscribes: https://www.youtube.com/channel/UClYL5SSefPhe-FCxFvXOreg




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul George  #Zlatan Ibrahimovi  #James Harden  #Los Angeles Lakers  #Best Goals  #Franck Ribery  #Football Defensive Skills  #Shot Goals  #Golden State Warriors  #Best Football Defending Skills  

Popular Users

#OleksiakPenny  #BBCBreaking  #LAKings  #BadgerMBB  #GNev2  #MieshaTate  #strombone1  #jtimberlake  #TheEllenShow  #dougferguson405  #normmacdonald  #RobbieSavage8  #BMcCarthy32  #Ky1eLong  #HEELZiggler