VIDEO: SIMBA 3-0 MWADUI, MAGOLI YOTE
VIDEO: SIMBA 3-0 MWADUI, MAGOLI YOTE

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere anawanyanyua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la kwanza kwa kichwa katika mchezo wa leo dhidi ya Mwadui, pasi ya Clatous Chama baada ya Haruna Niyonzima kupiga kona fupi dakika ya 21. Mzamiru Yassin alifanya hivyo tena dakika ya 26 akimalizia pasi aliyotengewa kwa kifua na nahodha John Bocco,dakika ya 29, Niyonzima alipipiga pasi iliyomfikia Bocco alicheka na nyavu kwa kichwa na kufanya idadi ya mabao kufika 3-0. Kwa sasa mpira ni kipindi cha pili, mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona namna msisimko wa Ligi Kuu Bara unavyoendelea. Ushindani ni mkubwa huku kipindi cha kwanza Mwadui walikuwa wakishambulia kwa kushtukiza na kujilinda na Simba walikuwa wakishambulia mara kwa mara. Aussems wa Simba alifanya mabadiliko kipindi cha pili kwa kumtoa Kagere nafasi yake ikachukuliwa na Adam Salamba, Mzamiru Yasin aliumia nafasi yake ikachukuliwa na Jonas Mkude na Chama alitoka nafasi yake ikachukuliwa na Emanuel Okwi. Mpaka dakika tisini zinakamilika mchezo wa leo Simba wanaondoka kifua mbele kwa ushindi wa mabao 3-0. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



FT: Matokeo ya Simba 0 - 5 Al Ahly, Okwi, Chama Hoi
FT: Matokeo ya Simba 0 - 5 Al Ahly, Okwi, Chama Hoi

WAFUNGAJI WA MABAO YOTE YAPO HAPA CHINI GOOOOAAAL Karim Nedved anafunga bao la tano. Al Ahly - Simba SC 5-0 GOOOOAAAL Karim Nedved anafunga bao la 4. Al Ahly - Simba SC 4-0 #TotalCAFCL #ASCSSC GOOOOAAAL Oluwafemi Ajayi anafunga bao la tatu. Al Ahly - Simba SC 3-0 GOOOOAAAL Ali Maâloul anafunga bao la pili . Al Ahly - Simba SC 2-0 Dakika ya 22 Timu ya Simba wanafungwa bao la pili Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Hiki hapa kikosi cha Simba kinachowavaa Al Ahly leo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika nchini Misri. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



JS SAOURA KUMCHUKUWA OKWI/NDEMLA KUTIMKIA SWEDEN
JS SAOURA KUMCHUKUWA OKWI/NDEMLA KUTIMKIA SWEDEN

Baada ya mchezo wa simba Vs js saoura kocha wa team hiyo amefurahishwa na mchezaji Emmanuel Okwi na kuamuwa kufanya mipango ya kumsajili



Okwi na Kagere Walivyowatesa Waarabu Simba 3-0 JS Saoura
Okwi na Kagere Walivyowatesa Waarabu Simba 3-0 JS Saoura

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



OKWI KUIAGA SIMBA/WALTER BWALYA KUTUA SIMBA
OKWI KUIAGA SIMBA/WALTER BWALYA KUTUA SIMBA

Tetesi za kimichezo, okwi kutimkia South Africa,walter bwalya kutokea nkana kutua simba Sports Club



Klabu ya Simba SC Walter Bwalya Ndiye Mrithi wa Emmanuel Okwi
Klabu ya Simba SC Walter Bwalya Ndiye Mrithi wa Emmanuel Okwi

Klabu ya Simba SC Walter Bwalya Ndiye Mrithi wa Emmanuel Okwi #UsajiliSimbaSc2019 #UsajiliWaSimba #WaterBwalyaSimba #MrithiWaEmmanuelOkwi #SimbaSC #WalterBwalya #EmmanuelOkwi #NaodhaWaNkanaFc #MrithiWaOkwi #NkanaFC #KaizerChiefs No Copyright issue. CHANNEL LINKS for royality free musics are:- Somewhere in Nature by Simon More https://soundcloud.com/user-73416670 Creative Commons - Attribution 3.0 Unported - CC BY 3.0 http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Music promoted by Audio library https://youtu.be/Juena1vPUhQ




« Previous Next »


Popular Tags

#Cristiano Ronaldo  #Paul Pogba  #Stephen Curry  #Neymar  #Lionel Messi  #Paul Pogba  #Philadelphia 76ers  #Shaquille O'Neal  #Gareth Bale  #Gareth Bale  

Popular Users

#justinbieber  #LilTunechi  #LarryFitzgerald  #richarddeitsch  #ArianFoster  #katzm  #billbarnwell  #MariaSharapova  #RobbieSavage8  #Oprah  #BrunoMars  #ddlovato