Baada ya mchezo wa simba Vs js saoura kocha wa team hiyo amefurahishwa na mchezaji Emmanuel Okwi na kuamuwa kufanya mipango ya kumsajili