PART 2: MOLINGA afunguka KUSAJILIWA SIMBA - "KINACHONIUMA ni DHARAU za VIONGOZI YANGA" GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na msakata kabumbu, David Molinga, ambaye alikuwa akiichezea klabu ya Yanga na kufanikiwa kuwa kinara wa magoli wa klabu hiyo katika msimu uliopita wa ligi kuu Tanzania bara... Molinga ambaye ni raia wa Congo, ambaye usajili wake Yanga ulizua gumzo kuanzia siku ya kwanza mpaka anamaliza msimu, amefunguka maisha yake ndani ya Yanga..... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline