Usisahau ku-subscribe, ku-comment, ku-like na ku-share...
SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 📱 Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Ewe Mwanadada unaetaka kusuka Fika sasa kwa Msusi Safi wakusuke kisasa na kwa bei nafuu Huduma Zao: Kusuka Nywele mitindo yote | kuosha nywele n.k Wanapatikana Sinza Vatcan Karibu na ukumbi wa Mawela Social Hall Piga: +255 657 306 709 / 0620366579
Zimepigwa penati tatu, Simba ikiitandika Namungo FC mabao 3-0 kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Jean Charles Ahoua amefunga penati mbili, huku Lionel Ateba akikosa penati moja iliyookolewa na golikipa wa Namungo, Jonathan Nahimana. Goli la tatu kwa Simba limefungwa na Steven Mukwala dakika za majeruhi... Katika mchezo huu pia, Namungo wamepata pigo baada ya beki wake Derrick Mukombozi kutolewa kwa kadi nyekundu...
Simba SC imekabwa koo na kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Fountain Gate katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Tanzanite, Kwaraa, Babati Manyara... Simba wametangulia kupata bao kupitia kwa Lionel Ateba dakika ay 57 lakini kiungoLadack Chasambi akajifunga na kuisawazishia Fountain Gate dakika ya 75. Katika mchezo huu pia, Fountain Gate ilipata pigo kwa golikipa wake John Noble kutolewa kwa kadi nyekundu, ikiwa ni njano ya pili....