Content removal request!


Sare na TP Mazembe Mashabiki Simba wafunguka

#SimbaSC Baada ya Klabu ya Simba SC kutoshana nguvu na Klabu ya TP Mazembe kwenye fainali za Simba Super Cup zilizofanyika katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar Es Salaam mashabiki na wanachama wa Simba SC wamefunguka juu ya kiwango cha wachezaji wa timu yao