Unajua kwamba Ligi Kuu kuna Timu ambayo inajihusisha na ULOZI 🧙♀️ 🧙♀️Msikilize Semaji la Simba @ahmedally_ anakuambia hiyo timu ndiyo timu ya kwanza DUNIANI kutozwa Tsh. 12m kisa TUUUU! UCHAWI kwa kweli hii ni MAAJABU 😂😂 Sasa mzani wa Ligi Kuu upo sawa kila timu imeshaonja joto la kupoteza alama tatu, Semaji mwenyewe anakiri kuwa ‘AMEFURAHI SANA YANGA KUFUNGWA’