Mseamaji wa timu ya Mbeya City, Shaha Mdanja amewataka Simba wajiandae kisaikolojia katika mchezo wao katika uwanja wa taifa kwakuwa timu hiyo ina rekodi ya kuifunga simba nje ndani.