Content removal request!


Tusker FC yasalia kileleni mwa ligi kuu nchini baada ya kutoka sare na Wazito FC

Tusker FC imesalia kileleni pa msururu wa ligi kuu humu nchini baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja na wenyeji Wazito FC kwenye mechi ya kusisimua ya ligi kuu iliyochezwa katika uwanja wa Utalii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football