Content removal request!


FT SIMBA 3-0 MBAO, MOTO NI ULE ULE KAMA TAIFA

Huu ni mchezo wa 10 wa simba inashinda mfululizo kwenye ligi kuu tanzania bara akifikisha alama 57, alama 10 nyuma ya yanga yenye alama 67, simba ina faida ya michezo sita mkononi.