Content removal request!


UTAPENDA.!! ASKARI HUYU AKIONESHA UWEZO WAKE WA KUCHEZA NA MPIRA

Mkuu wa kituo Cha Polisi Cha Minjingu wilayani Babati mkoani Manyara Mkaguzi msaidizi wa jeshi la Polisi Hassan Karatha akionesha Uwezo wake wa kucheza na Mpira ⚽ wakati wa uzinduzi wa ligi ya Polisi Jamii Manyara Cup 2023 iliyoanzishwa na jeshi hilo mkoani hapo JE, Unampa Marks Ngapi kwa kiwango Chake !? 😊 #WasafiDigital