Kocha mkuu wa Tusker FC Robert Matano amesema kuwa kilabu hicho bado kina nia ya kunyakua taji ya ligi kuu ya soka humu nchini licha ya kujipatia tiketi ya kushiriki katika ligi ya kilabu bingwa barani Afrika msimu ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football