Kikosi cha Taifa stars baada ya kushuka dimbani june 16 kwenye mchezo wa pili wa kirafiki na kupata sare dhidi ya Zimbabwe kwa kufungana 1-1. Balozi wa Tanzania nchini misri meja jenerali Isa suleiman Nassor amezungumza na wachezaji wa Taifa stars huku akisema Tanzania pia inawakilisha Tanzania huko nchini misri huku akiwaomba wachezaji kupamabana katika michezo ya kwanza ili kupata nafasi ya kusonga katika hatua ya makundi. __ Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. ******************************************* Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/