Content removal request!


KCB yailemea Wazito FC kwenye ligi kuu ya soka nchini

Wazito FC ilishindwa mechi yake ya nne kwenye ligi kuu ya soka msimu huu baada ya kupoteza mabao mawili kwa sifuri dhidi ya KCB kwenye mechi iliyokuwa na ushindani mkali iliyochezwa katika uwanja wa Kasarani. Wazito FC imeshindwa mechi nne kati ya tano ambazo imecheza kufikia sasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football #FKFPremierLeague