Content removal request!


ISHU ya CHAMA KUGOMBANA na KOCHA PABLO, HATMA ya MORRISON, AHMED ALLY Afunguka UKWELI WOTE..

ISHU ya CHAMA KUGOMBANA na KOCHA PABLO, HATMA ya MORRISON, AHMED ALLY Afunguka UKWELI WOTE.. GLOBAL TV imefanya mahojiano na Afisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo klabu yao, ikiwemo tetesi za mchezaji wao, Clatous Chama kudaiwa kugombana na Kocha wao, Pablo Franco. Lakini pia amezungumza kitendo cha mchezaji wao Benard Morrison, kudaiwa kumjeruhi shabiki wa Yanga, akiwa katika uwanja wa Mkapa, baada ya kumalizika kwa Derby ya Kariakoo.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline