Content removal request!


Harambee Stars yailemea Rwanda kwenye mechi ya kuwania nafasi ya kufuzu kwenda Qatar

Timu ya taifa ya soka, Harambee Stars, ilitamatisha kampeni yake ya kufuzu kipute cha kombe la taifa mwaka ujao kwa ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Rwanda katika mechi iliyoandaliwa uwanjani Nyayo. Hata hivo, Kenya na Rwanda tayari zilikuwa zimebanduliwa kutoka kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya kufuzu kwenda Qatar. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football #HarambeeStars