Content removal request!


🔴#LIVE​: Ona Simba Watua Kutoka Morocco, Sakho na Kanoute Waongoza Msafara

Kikosi cha @simbasctanzania kimetua Jijini Dar es salaam kikitokea Morocco ambako kiliweka Kambi ya awali. Kikosi hicho kimerejea pungufu baada ya nyota wake wengi kuondoka kambini Morocco mapema mara baada ya kuitwa kwenye Timu za Taifa kwa Mataifa tofauti tofauto. Inatajwa kuwa mara baada ya Michezo ya kimataifa kupita Timu ya Simba itaondoka Nchini kwenda nje ya Tanzania kuweka kambi nyingine kabla ya Mechi ya Ngao ya Jamii itakauochezwa Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam. SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1