Content removal request!


ALL PENALTI SINGIDA UNITED VS AFC LEOPARDS 4-2

ALL PENALTIES SINGIDA UNITED VS AFC LEOPARDS TIMU ya Singida United imeungana na Simba SC kwenda Nusu Fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya ushindi wa penalti 4-2 kufuatia sare ya 0-0 na AFC Leopards jioni ya leo Uwanja wa Afraha, Nakuru nchini Kenya. Shujaa wa Singida United leo alikuwa kipa wake, Manyika Peter Junior aliyeokoa penalti mbili, moja wakati wa dakika 90 za mchezo na nyingine kwenye mikwaju ya kuamua mshindi baada ya sare hiyo ya 0-0. Na kwa ujumla, Manyika aliyerithi kipaji cha baba yake, Manyika Peter mkubwa aliyekuwa kipa wa Yanga na timu ya taifa miaka ya 1990 mwishoni hadi 2000 mwanzoni, alikuwa nyota wa mchezo wa leo baada ya kuokoa michomo mingi ya hatari kwenye mchezo huo. Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..