Content removal request!


TAZAMA GOLI LA RS BERKANE LILILOKATALIWA DHIDI YA SIMBA

Katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba dhidi ya Berkane uliochezwa katika dimba la #BenjaminMkapa jijini Dsm, mchezo ulitamatika kwa wenyeji Simba kuibuka na Ushindi wa bao 1. Katika mchezo huo pia ilitokea sitofahamu baada ya Rs Berkane kupata goli na mwamuzi msaidizi kunyanyua kibendera cha Offside hali iliyopelekea mpira kusimama kwa muda kufuatia vurugu zilizojitokeza. #simba #rsberkane #simbavsberkane #caf #golilaberkanelililokataliwa #golilasimba #papeosmanesakho