BARAKA MPENJA ATIA NENO HAT-TRICK YA MAYELE "MAYELE BADO SANA ILA NAMPA TANO"
Yanga SC leo imeibuka na ushindi wa magoli 5-0 dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini katika mchezo wa marudiano wa Club Bingwa Afrika, Yanga wanaitoa Zalan kwa aggregate ya magoli 9-0, huku staa wao Fiston Mayele akipiga hat-trick mbili mfululizo.