AFC Leopards ilitoka sare kappa na Talanta FC kwenye mechi ya ligi kuu ya soka humu nchini iliyochezwa uwanjani Nyayo.