Content removal request!


Manara amjibu kocha wa African Lyon kuhusu Simba kubebwa

Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amemjibu kocha wa African Lyon aliyedai kuwa Simba imebebwa na mwamuzi katika mchezo ambao ulimalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 Jijini Arusha