Mchezo kati ya CD De Agosto ya Angola na Namungo FC ya Tanzania unachezwa Februari 21, 2021 katika uwanja wa Azam Complex jijini Dar es salaam. Mchezo huo uliahirishwa kuchezwa Februari 14, 2021 nchini Angola kutokana na kikosi cha Namungo FC kuzuiliwa katika uwanja wa ndege mamlaka za nchi hiyo kwa hofu ya maambukizi ya C0r0na na CAF kuamuru michezo yote (nyumbani na ugenini) ichezwe Tanzania. Tovuti @BMG BLOG https://www.bmgblog.co.tz/ Facebook @BMG HABARI https://web.facebook.com/bmghabari Twitter @bmghabari https://twitter.com/bmghabari Instagram @bmghabari https://www.instagram.com/bmghabari/ #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG