Content removal request!


SIMBA vs MBEYA CITY: KOCHA na NAHODHA wa MBEYA CITY Watamba Kumfunga MNYAMA..

SIMBA vs MBEYA CITY: KOCHA na NAHODHA wa MBEYA CITY Watamba Kumfunga MNYAMA.. Kikosi cha Simba kesho kinatarajia kushuka dimbani kuvaana na Mbeya City katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam majira ya saa moja Usiku huku kimetoka kupata dhidi ya Polisi Tanzania Jijini Mwanza CCM Kirumba. Akizungumza na waandishi wa habari Kocha Msaidizi wa Mbeya City mateso wadiba amesema kuwa wamejipanga kuibuka na ushindi katika mchezo huo huku wakiingia uwanjani wakiwa wanawaheshimu kikosi cha Simba lakini lengo lao ni kulipa kisasi dhidi ya Simba. Aidha kwa upande wa Nahodha wa Mbeya City amesema kuwa wao kama wachezaji wana morali ya kufanya vizuri huku wakiwaheshimu Simba kutokana na ni klabu kubwa ambayo imeshiriki michuano ya kimataifa. Simba kwa sasa inaongoza ligi ikiwa na alama 70 huku ikiwa imecheza 28 na Mbeya City ina alama 36 wakiwa wamecheza michezo 31. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline