Content removal request!


Shabiki Simba apoteza fahamu baada ya bao la Kagera Sugar

Shabiki mmoja wa Simba alipoteza fahamu muda mchache baada ya Kagera Sugar kupata bao lililoifanya timu hiyo kuondoka na pointi tatu. Wakundu hao wa msimbazi ndio mechi yao ya kwanza wanafungwa ndani ya msimu huu ambao wamechukua ubingwa.