TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imechukua alama zote tatu dhidi ya wenyeji, Guinea katika dimba la Charles Konan Banny, Yamoussoukro Ivory Coast kwenye mchezo wa Kundi H. Guinea 1-2 Tanzania ⚽ Bayo 57’ ⚽ Feitoto 61’ ⚽ Mudathir 88’ Stars imefikisha pointi 4 baada ya mechi mbili inasalia nafasi ya pili kwenye Kundi H alama mbili nyuma ya vinara DR Congo. 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: KUFUZU #AFCON 2025 Botswana 🇧🇼 0-4 Egypt 🇪🇬 Gabon 🇬🇦 2-0 Central African Republic 🇨🇫 Liberia 🇱🇷 0-3 Algeria 🇩🇿 Namibia 🇳🇦 1-2 Kenya 🇰🇪 Zimbabwe 🇿🇼 0-0 Cameroon 🇨🇲