TUHUMA za SIMBA KUBEBWA na MAREFA, MASHABIKI Wafunguka - "TIMU Yetu BADO" Mtanange wa ligi kuu ya wekundu wa msimbazi, Simba SC Vs Polisi Tanzania, umemalizika kwa Simba kuwatandika polisi mabao (2-1) yaliyowekwa kimiani na Nahodha, John Bocco pamoja na Ibrahim Ajib... Baada ya mtanange huo kuisha Global TV imezungumza na mashabiki kuhusiana na namna walivyouona mchezo wao pamoja na tuhuma zinazowakabili kuwa Simba, imekuwa ikipewa magoli mengi ya Offside kwa lugha ya kimpira wanabebwa na marefa.. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?list... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline