Content removal request!


Ni Machungu na Hasira baada ya mechi ya Simba vs Yanga kuahirishwa, hizi ndizo sababu

Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, Simba dhidi ya Yanga umeahirishwa. Awali mchezo huo ulikuwa uchezwe saa 11:00 Jumamosu hii jioni lakini baadaye ukasogezwa mbele hadi saa 1:00 jioni uamuzi ambao uligomewa na Yanga