Content removal request!


Alichokisema Modewji Atoa Tamko zito kuhusu Miquissone kurudishwa Simba Dirisha Dogo la Usajili

LUIS: WAMENIPA JINA "TIMU KUBWA SANA ILE" " Yes niliondoka kwa amani walinipa baraka zote kwahiyo Simba kwangu ni kama familia iliyonilea vizuri sana. Niliflka pale nikiwa na kipaji lakini sikuwa na jina kubwa, Waliniamini wakanipa nafasi nikaonyesha nilichonacho. Naweza sema kwangu walikuwa walezi bora. Unajua Simba ni timu kubwa sana kwenye ukanda ule wa cecafa kwahiyo ukicheza Simba na wakakuamini ni jambo la kujivunia sana, Yes ndiyo timu niliyoichezea kwa mafanikio Wamenifanya Nicheze Makundi na Robo fainal ya Caf Champions League Sikuwa nimecheza kabla kwahiyo walinipa kitu kipya kwenye maisha yangu ya soka, Kuhusu pengo langu kuzibika pale inawezekana tu kwasababu mimi sio mchezaji bora wa Muda wote pale Simba inamaana kuna watu Walipita na mimi nilipoenda nikaziba nafasi zao " Kwahiyo naamini kama walikuwa na jicho la kunioná mimi na kunisajili basi mpaka sasa washasajili mchezaji wa kuziba pengo langu na huwenda akatimiza majukumu ya Simba vizuri kuliko hata mimi. Simba ninfamilia yangu najua mashabiki wananipenda na watanipokea ikitokea nataka kurudi,naamini nitarudi Simba siku moja". Maneno ya Luis, mchezaji wa Al Ahly #simbasc #luismiquissone #yangasc #usajilisimbasc #usajiliyangasc #usajili #dirishakubwalausajili #azamtv #fifa #cas #modewji #hajimanara #yusuphmanji #usajli #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #usajilisimbaleo #ligikuu #chama #miquissone #kisinda #mukoko #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania