Content removal request!


MKWANJA WATAKAOVUNA SIMBA KUTOKA AZAM SI MCHEZO|KWELI SIMBA WABABE|YANGA HAWAGUSI

IMEELEZWA kuwa Simba wapo kwenye mazungumzo na Azam Media ili kuweza kusaini dili katika kurusha maudhui huku ikielezwa kuwa dau lililowekwa mezani ni kubwa.