Content removal request!


VITA YA MANENO...!! Simba SC vs Yanga SC | Watambiana majina

Jijini Dar es Salaam Mashabiki wa Simba na Yanga wamekutana na kubishana juu ya mchezo wao wa kombe la shirikisho ambao ni fainali za kombe hilo.