Content removal request!


NEYMAR AANZA KWA KASI MAZOEZI

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Brazil, Neymar ameungana na wachezaji wenzake kwa mara nyingine jana kwa ajili ya maandalizi ya fainali za Kombe la Dunia Juni.