IMENASWA: VIDEO ya MORRISON AKIMJERUHI SHABIKI wa YANGA ALIYEZINGIRA GARI LAKE.... MTAZAMAJI wa Global TV jana aprili 30, Ilikuwa ni Sikukuu ya Mpira Nchini kwani Timu za Kariakoo Simba na Yanga zilishuka Katika Dimba la Mkapa Kupimana Nguvu kwa Dakika 90 na Kutoka na suluhu ya Bila kufungana... Baada ya Kumalizika kwa Mchezo Huo, Maneno mengi Yalizungumzwa na Mashabiki Wa Pande zote Mbili, Ikiwemo wa simba kumsifia Beki wao Henock Inonga Baka kwa Kufanikiwa Kumdhibiti Straika Hatari wa Yanga, Fiston Mayele, Huku MASHABIKI wa Yanga wakimsakama Mchezaji wa Simba, Benard Morrison, kwa Kushindwa Hata Kucheza Dakika 90 Kwani Alitolewa Kabla ya Mchezo Kuisha... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline