HAIJAWAHI KUTOKEA UTAMBULISHA WA AINA HII TANZANIA, YANGA WAMBEBA OKRAH KWENYE SANDUKU KUMTAMBULISHA
Yanga SC imetangaza rasmi kuwa imemsajili Augustine Okrah raia wa Ghana kutoka Klabu ya Bechem ya kwao Ghana, Okrah ametambulisha muda huu katika uwanja wa Amaan Zanzibar na amewahi kuichezea Simba SC.