Februari 25, mwaka huu, mchezaji ghali duniani, Raia wa Brazil, Neymar Dos Santos anayechezea Paris Saint Germain ya Ufaransa, alivunjika mfupa wa mguu wake wa kulia katika mchezo wa Ligi Kuu nchini humo dhidi ya Marseilles