Kocha mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Morocco amewataka wazanzibar watulie kwani Zanzibar ina washambuliaji wengi na si hilika pekee' #zsportstv