Content removal request!


Police FC watoka sare ya bao 1-1 na Ulinzi Stars kwenye mechi ya ligi kuu ya FKF

Police FC walitoka sare ya bao 1-1 na Ulinzi Stars kwenye mechi ya ligi kuu ya FKF iliyochezwa katika uwanja wa taifa wa Nyayo.