SHEREHE ZA UBINGWA WA VPL 2020/21 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Simba imekamilisha msimu wa 2020/21 kwa utamu wakiipiga Namungo ya Lindi kwa mabao 4-0 katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Walichofanya Simba ni kunogesha ubingwa wao wa nne mfululizo wakishinda kwa kishindo bao 4-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Mchezo ulianza kwa Simba kufanyiwa mapokezi ya kibingwa ambapo Namungo walijipanga katika mistari miwili huku wekundu hao wakipita katikati huku wakipigiwa makofi na wageni wao pamoja na mashabiki. Simba ndio waliouanza mchezo kwa kasi na dakika ya 5 tu wanatengeneza shambulizi zuri lakini shuti la mshambuliaji Chris Mugalu linazuiwa na beki Steven Duah mpigaji akipokea pasi safi ya kiungo Clatous Chama. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars