Content removal request!


SAMATTA Alivyokosa Penati TANZANIA VS CAPE VERDE

PENALTI Aliyokosa Samatta TANZANIA VS CAPE VERDE Taifa Stars imefuta machungu ya Watanzania kwa kuichapa Cape Verde kwa mabao 2-0 katika mechi ya kuwania kufuzu Afcon kwenye Uwanja wa Taifa. Kabla, mechi iliyopita Stars ilikubali kipigo cha mabao 3-0 ikiwa ugenini mjini Praia, lakini leo imelipiza kisasi. Ingeweza kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, lakini mkwaju wa penalti wa nahodha Mbwana Samatta, uligonga mwamba na kurejea uwanjani kabla ya kuokolewa. Baadaye, Samatta pamoja na kukosa mkwaju huo aligeuka shujaa wa mechi hiyo baada ya kutengeneza bao la kwanza akimpa pasi safi Saimon Msuva aliyeandika bao la kwanza kabla ya yeye kushindilia msumari wa mwisho akipokea pasi ya kimo cha nyoka ya Mudathir Yahya. SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho